![]() ![]() |
||
|
![]() TV ya INJILI Kwenye Internet - WWW.GOSPELGTV.COM Tel. 254722602445 E-mail: munishi@munishi.com or info@munishi.com Padre Atuhumiwa kwa UBASHA Padre Kimaro akiweka saini ili aachiliwe kwa dhamana. Padre Kimaro akiwa amejifunika uso wakati akiwa katika mahakama ya kisutu, kujibu tuhuma za UBASHA. Wengi wanauliza Padre Kimaro Kama mtumishi wa Mungu, mbona anajifunika uso? Ikiwa anajua hakufanya anayotuhumiwa kwayo, si atulie waandishi wachukue picha wanazotaka? Wakati umefika kwa kanisa Katoliki kuangalia katiba yao ili Mapadre waoe. ![]()
![]() ![]() ![]()
Contact us/ Tuandikie
|
||||||||||||
|
|
|
|